Ngome Kongwe pia inajulikana kama Ngome ya Waarabu ni ngome iliyoko katika Mji Mkongwe, Zanzibar. Ni moja ya jengo kongwe na kivutio kikubwa cha wageni wa Mji Mkongwe.
0
(Uhakiki wa 0)
Utamaduni
Mtazamo